nguvu ya dola

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

    Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga. Tumeshuhudia...
  2. Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020. HOTUBA KWA UFUPI CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…