Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa wito kwa wanawake wa Mkoa wa Lindi kuwa na maamuzi na ujasiri Mkubwa katika kuyafikia malengo bila kugeuka nyuma .
Mhe. Telack ametoa wito huo katika hafla iliyoandaliwa na wome's Gala 2024 yenye lengo la kuwakutanisha wanawake wakada tofauti...