Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje?
Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja chake na Mzee Mushi. Yaelekea Mushi ni mbabe sana. Hawaopgopi wasomi wala viongozi wala Serikali...