nguvu ya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Consultant

    CCM waogope sana hili joto na jua kali nchini kwa sasa. Muda si mrefu nguvu ya umma itadhihirika!

    Kwa mujibu wa takwimu za NBS, watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi karibu asilimia 65 wameajiriwa kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo. Nchi hii imekuwa na baraka sana ya kupata neema ya hali njema ya hewa, kiasi kwamba kila mwaka watu wamekuwa wanakula na kusaza japo hawana akiba yeyote (no...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  3. T

    Pre GE2025 Wa kuiondoa CCM madarakani ni wananchi na siyo CHADEMA

    Wakuu salama, Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM haiwezi kubanduka pale ikulu. Lissu mwenyewe amekiri licha ya kampeni ya 'No reforms no election'...
  4. A

    DOKEZO Nguvu ya Umma itumike kuondoa Wapiga Kura hewa huku kwetu Geita

    Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea. Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu waliyoidhinishwa kupiga kura imezidi idadi ya Watu waliondikishwa. Kuna watu wameandikishwa ambao sio...
  5. W

    Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina ajiuzulu kutokana na maandamano Yanayoendelea

    Waziri Mkuu Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kuondoka katika mji mkuu wa Dhaka wakati kukiwa na maandamano makali ya kumtaka ajiuzulu Uamuzi huo umekuja ikiwa ni muda mfupi tangu Umoja wa Mataifa uitake serikali kusitisha mara moja machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yamesababisha...
  6. Chakaza

    CCM ijifunze toka Kenya. Nguvu ya dola haiwezi tumika kuishinda nguvu ya umma

    Ni dhahiri sasa kuwa maandamano ya Gen.Z kule Kenya hayawezi tena kutulizwa na Polisi au Jeshi maana kitakacho tokea ni mauaji ya Raia ya kutisha na hilo haliwezi kukubalika duniani pote. Umma wa Kenya umeamua kupitia vijana wasio na ajira na hata wenye nazo bila kuongozwa na chama chochote cha...
  7. BARD AI

    Nguvu ya Umma: Bunge lalazimika kubadilisha Muswada wa Sheria ya Fedha baada ya maandamano ya Wananchi

    UPDATE: KENYA: Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini humo wameingia Mitaani kupitia Maandamano ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha unaolamilikiwa wakidai una vifungu vyenye Kodi kandamizi Maandamano hayo yanaingia Siku ya 3 huku yakiwa na mafanikio ya kushawishi Bunge kuondoa baadhi ya...
  8. Allen Kilewella

    Pre GE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

    Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile. Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
  9. Nyankurungu2020

    Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

    Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
  10. S

    Hivi hili la bandari nalo likipita kwa ushwari uliolengwa na mamlaka, je ni kitu gani au jambo gani tena la kutuingiza barabarani kama nguvu ya umma?

    Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari. Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
  11. B

    Nguvu ya Umma: Tofauti yetu na Kenya sisi tumeliwa kichwa

    Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua. Aungurumapo Simba mcheza nani? Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk? Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir Sisi tuko hapa: Bipartisan talks must end...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  13. airmax

    Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
  14. B

    Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  15. J

    Kisiasa: Kilichofanywa na Wavuvi Bukoba ndio inayoitwa "Nguvu ya Umma"

    Duniani kote Nguvu ya Umma ikiwa kazini vyombo vingine vyote husubiri pembeni automatically. Wavuvi wa Bukoba mmetufundisha kitu kikubwa. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  16. The Burning Spear

    Ifike mahali nguvu ya umma itumike kuwawajibisha viongozi

    Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga. Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu. Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka...
  17. MakinikiA

    Wacongo wangejitambua tangu wakati wa Lumumba wangefika mbali sana

    Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati nzuri mwizi anajulikana. Nawatakia kila kheri kwenye MAPINDUZI .
  18. Idugunde

    CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

    Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii. Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
  19. Kiturilo

    Baada ya kuzidiwa na nguvu ya umma, Bernard Membe kufafanua kauli ya Nape

    Wiki moja baada ya mwanasiasa nguli nchini, Bernard Membe kurejea rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipofukuzwa mwaka 2020, hatimaye ameeleza kuhusu kauli iliyozua utata iliyotolewa siku ya kukapokewa kwake. Mei 29 mwaka huu Waziri huyo wa zamani wa Mambo ya Nje ya Nchi...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana. ======== Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
Back
Top Bottom