Tanzania imara Baada ya Miaka mitano , kumi ama zaidi haitawezekana pasina Jitihada za Pamoja baina ya serikali na Wananchi kupitia Asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali.
Aidha jitihada hizo zihusishe maeneo nyeti kama Sekta ya ELIMU, UCHUMI, AFYA, KILIMO, VIWANDA, BIASHARA, MIUNDOMBINU YA...