Habari yenu ndugu na jamaa zangu !
Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu.
Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni.
Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu.
Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
Habari za wakati huu Wapendwa.
Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji.
Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
I am not joking to any body/ faith but I think we have to use force or praying for our beloved sister and mother as well as brother and fathers to set them free from devilship chair.
Majuzi nilikuwa nimetune radio jina kapuni ilikuwa ni mahubiri ya kikristo bhana bhana nikajikuta nataka...
LC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure...
Silaha za kushinda nguvu za giza, hasa katika muktadha wa kiroho au kidini, zinaweza kujumuisha:
1. Maombi: Kuomba msaada wa Mungu au nguvu za juu ili kushinda maovu.
2. Imani: Kuwa na imani thabiti kwa Mungu au nguvu za mwanga.
3. Neno la Mungu: Kusoma na kutumia maandiko matakatifu kama...
Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika
Unaambiwa zima simu yako tafadhali
Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa.
Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
salaam
leo katika harakati zangu za kujiongezea maarifa nimeshika kitabu kimoja cha jamaa anaitwa Murphy Joseph jina la kitabu power of subconscious mind ndani ya kitabu ameeleza mambo mengi ya kuihusu subconscious mind na kufanya comparison conscious mind.
Kuna mifano mingi jinsi ya...
Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu.
Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka...
Kwa muktadha wa mabadiliko ya hali ya hewa nakubaliana na wadau wanaosema TANESCO ndiyo taasisi yenye nguvu za giza kuliko taasisi nyingine zote.
Nguvu za giza zimeondoka na mawaziri wengi, wakurugenzi na makatibu wakuu. Zinaendelea kuondoka na wengi kupitia miradi chechefu.
Tunapopambana na...
Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason.
Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason.
Je, Mungu wa wakristo...
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place
Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Kuna jamaa yangu mmoja alikuja kunipa changamoto yake kwenye mahusiano; anasema kuna mrembo mmoja amempenda, na huyo mrembo anafanya kazi za ndani kwa tajiri mmoja.
Huyo rafiki yangu alimfahamu huyo mrembo, kutokana na tajiri wa huyo binti kumtuma huyu kijana mara kwa mara kupeleka mzigo hapo...
Hello!
Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?".
Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila nikikumbuka nabaki kulia tu.
Wakati naripoti shuleni nilikuwa nimechelewa kidogo baada ya kufika pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.