Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara haikudumu hata miezi mitatu ikaharibika tena.
Tangu mwaka jana barabara hii haipitiki na tunahisi...