Wanabodi,
Nipashe ya Leo 16/06/2024
NGUZO 7 ZA MANISTATION
Hili ni bandiko mwendelezo wa wiki iliyopita. Kama hukulisoma bandiko la kwanza, anzia hapa Siri ya Mafanikio Kupitia Manifestation -1: Manifestation ni Nini?
Kwa wasomaji wapya, wiki iliyopita niliintruduce topic ya kitu kinachoitwa...