Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi...
Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi
For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.
Wewe kwako nani aliumiza humu ndani?
Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za
1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
Ipi Kali Sana kati ya hizi ngoma speed 120 iliyotoka 2008 au kush n haze iliyotoka 2006.
Nimekuwekea ngoma zote mbili hapo uzisikilize
Dondosha maoni hapo chini👇👇
NB:RIP kwa Albert Mangwea
RIP kwa Nipsey Hussle
Long live kwa Chid Benz
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...
Singida, Dodoma...
Man, I wish ungemuona, anavyojitingisha
Jinsi nyuma alivyoshona
Yeah! Singida, Dodoma...
Yeah, mtoto amenona na anavyotetemesha
Zaidi hata tranformer/ X2
(Verse 1)
Yo! Kwa jina ni Irene, huyu bonge la queen
Mtoto wa ku'shine kwenye cover za magazine
Age yake ni kama twenty...
Verse 01: JayMo
Mwenyezi nihurumie kiumbe Chako/
Mbele nitafikaje bila mwelekeo wako/
Kwenye Giza siwezi ona bila mwangaza wako/
Mja wako Niko chini ya miguu yako/
Naomba uninusuru na haya majanga ya dunia/
Maana kila kwenye kumi napata tisa na wanalia/
Nadata, sababu tu sio ya ugumu wa maisha/...
Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.