Albert Mangwair
Kupitia mahojiano aliyofanya Skywalker Fredrick Bundala na Makaveli aliyekuwa mmiliki wa ghetto ambalo msanii mkali wa freestyle Ngwair akiishi amefunguka mengi kuhusiana na nyakati alizoishi na Ngwair kubwa zaidi ni lifestyle ya msanii.
Anafunguka Ngwair kuwa mtu wa Bata...