ngwair

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyimbo ya Mikasi ya Ngwair iliandikwa kwa akili nyingi sana

    Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi...
  2. THROWBACK: Demu wangu - Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali?

    Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana. Wewe kwako nani aliumiza humu ndani?
  3. Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  4. Ngwair ft Chid benz - speed 12 vs Nipsey Hussle - kush n haze

    Ipi Kali Sana kati ya hizi ngoma speed 120 iliyotoka 2008 au kush n haze iliyotoka 2006. Nimekuwekea ngoma zote mbili hapo uzisikilize Dondosha maoni hapo chini👇👇 NB:RIP kwa Albert Mangwea RIP kwa Nipsey Hussle Long live kwa Chid Benz
  5. Fid Q Vs Ngwair

    Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...
  6. Gwair - Singida Dodoma (Lyrics)

    Singida, Dodoma... Man, I wish ungemuona, anavyojitingisha Jinsi nyuma alivyoshona Yeah! Singida, Dodoma... Yeah, mtoto amenona na anavyotetemesha Zaidi hata tranformer/ X2 (Verse 1) Yo! Kwa jina ni Irene, huyu bonge la queen Mtoto wa ku'shine kwenye cover za magazine Age yake ni kama twenty...
  7. Mola by Ngwair, Jay Mo & Bamboo

    Verse 01: JayMo Mwenyezi nihurumie kiumbe Chako/ Mbele nitafikaje bila mwelekeo wako/ Kwenye Giza siwezi ona bila mwangaza wako/ Mja wako Niko chini ya miguu yako/ Naomba uninusuru na haya majanga ya dunia/ Maana kila kwenye kumi napata tisa na wanalia/ Nadata, sababu tu sio ya ugumu wa maisha/...
  8. Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…