nhif tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Waziri Jenista Mhagama bado kuna changamoto za kiutendaji hapo makao makuu ya NHIF. Shirikiana na TIRA kuokoa jahazi

    Mheshimiwa Waziri, Napenda kukuandikia tena kuhusu changamoto za utendaji wa kazi katika Makao Makuu ya NHIF, Dodoma. Bado Ombwe la Kanuni Zinazotabirika Linasumbua Makao Makuu ya NHIF. Hivyo, nakuandikia kukuomba ushirikiane na TIRA kuokoa jahazi Utangulizi Tarehe 20 Oktoba 2024 niliandika...
  2. Huihui2

    Matatizo ya NHIF yalianzia Kwa Maamuzi Mabovu na Ummy Mwalimu Mwenyewe mwaka 2016

    Ummy Mwalimu aliteuliwa kuwa Waziri Nov 2015, ndani ya miezi 7 akaamuru Bodi ya NHIF iwafukuze kazi Wakurugenzi/ Wakuu wa Vitengo wote pamoja na DG wao kwa tuhuma za uwongo. Katika hiyo timu ya Wagurugenzi 9, nusu yao walikuwapo kuanzia NHIF ilipoanzishwa mwaka 2003, wamekuwa na Mfuko hadi...
  3. A

    KERO Namba ya msaada 199 tuliyopewa na NHIF haipatikani

    Wadau tusaidieni tuko mkoani tunataka kupiga simu NHIF, walitupatia namba ya msaada 199 ila tukipiga hiyo namba ya msaada haipatikani kabisa. Watusaidie hata namba nyingine basi ya msaada kama hiyo namba hawaitumii.
  4. The Palm Beach

    Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

    Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini. Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili...
Back
Top Bottom