MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh. 6,388,400 kwa mwaka.
NHIF imeainisha pia mafao yatakayotolewa kwa kila kifurushi na ukomo wa matumizi ya...