nhif

The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama NHIF imefilisika, tafadhari watumishi wa umma wawe na uhuru wa kuchagua mfuko wautakao

    Dharau zimeanza sasa! Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho. Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe? Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi...
  2. Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  3. NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  4. Tuishitaki NHIF?

    Nimeongea na watoa huduma wa NHIF ili kujua kama yanayoendelea mitandaoni ni kweli au uongo Jibu la huduma kwa wateja ni kama ifuatavyo Kila kinachosemwa ni kweli. Kwa sasa Hospital ni Mara 3 kwa mwezi, hii ni kwa magonjwa ya kawaida. Hii yajumlisha watu wote kuanzia wenye Toto Afya hadi...
  5. Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia...
  6. R

    Serikali na Wadau wa afya sikieni kilio hiki cha NHIF

    Siku Moja katika pita pita zangu nlikutana na Jamaa mmoja anitwa NHIF ,huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Afya kwa kifupi ni kajitolea kuwatunzia pesa zao Watu kwa Ajiri ya Matibabu yao baadae . Wakati napita alikuwa mlangoni nlimsikia akilia kwa Nguvu sana akisema Ooh God ,thank you for another...
  7. Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  8. Z

    Kwanini NHIF huwa haiendi na wakati linapokuja suala la gharama za matibabu?

    Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli na petroli. Mfano ni hii ya sasa kabla ya 2021 lita ya mafuta ya petrol haikuzidi 2300-2600. Kwa...
  9. Serikali yazuia wanachama wa NHIF kwenda kuchukua dawa maduka ya nje kwa kufuta matumizi ya form 2c

    Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
  10. I

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE? Naam naombeni jibu hapo
  11. Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  12. Isingekuwa mfuko wa bima ya afya (NHIF) ningefanya nini?

    Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF. Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati...
  13. K

    Mara: Watu 11 wafikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa kuiibia NHIF

    Mama anaupiga mwingi sana. Halafu uzuri mmoja wa mama yeye hana maneno mengi.ukizingua nae anakuzingua. ==== Taasisi si ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara imewapandisha kizimbani watumishi 11 wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) wakikabiliwa na mashtaka 811 ya uhujumu uchumi...
  14. A

    Viongozi wa NHIF Chuo Kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu

    Viongozi wa NHIF chuo kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu hivyo kusababisha mateso makubwa kwa baadhi ya wanachuo Kwakiutl was I lists michango ya bima ya afya sehemu husika. Tangu mwaka jana baadhi ya wanachuo hawajapata vitambulisho vyao vya bima ya afya. Kumekua na...
  15. Mfumo wa NHIF kila wakati tunaambiwa uko chini, Wagonjwa wamekaa kwenye foleni

    Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi. Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari. Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
  16. T

    Wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima?

    Habarini ndugu zangu? Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio. Msaada please.
  17. NHIF itangaze kama inatoa huduma ya mitungi ya gas (oxygen)

    Kutokana na ongezeko la mahitaji ya gasi ya Oxygen yaliyojitokeza hivi karibuni umekuwa na mkanganyiko mkubwa wa huduma hasa hiyo gas ya oxygen inayotumika kwa wingi Ukiangalia kwenye matangazo ya NHIF yanasema hiyo gasi inatolewa Bure. Ila kiuhalisia hiyo gasi inauzwa kwa hospitali za serikali...
  18. Mkapa: Nilipata wazo la Bima ya Afya (NHIF) kutoka kwa Rostam Azziz

    Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his...
  19. R

    SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    NHIF IBADILI SHERIA JUU YA WATEGEMEZI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ni mpango wa Bima ya afya wa kisheria ulioanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.8 ya mwaka 1999 ili kuwezesha upataji wa huduma za afya kwa wanachama wakuu na wategemezi wao. Uanachama huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Bima...
  20. Waziri abaini upigaji milioni 520 za NHIF mkoani Kilimanjaro

    UKAGUZI maalum unaoendelea kufanyika katika miamala ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umebaini kuwepo kwa ubadhirifu wa zaidi ya milion 520 mkoani Kilimanjaro. Ubadhirifu huo unaohusisha watumishi sita wakiwamo kutoka na hospitali za rufaa ya Kanda KCMC na Hospitali ya Rufaa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…