Habari wakuu,
Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada. Tulikuwa tukielekezwa kuwa unapojiunga na huduma ya NHIF utakuwa unachangia kiasi fulani kila mwezi kwa walio na vigezo. Pamoja na kuchangia pia, utakuwa na nafasi ya watu wengine wa karibu (I guess 4) kunufuika kupitia uchangiaji wako: mfano...