Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia...