niaje

Niaje is a Kenyan digital media website founded in 2006 by David Mugo. It shares content in the entertainment, lifestyle and sports categories. Niaje.com is the oldest entertainment blog in Kenya and is among Kenya's top blogs.

View More On Wikipedia.org
  1. Last_Joker

    Niaje Kuwa na ‘Side Hustle’? Kutafuta Hela Zaidi au ni Kukosa Tamaa?

    Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
  2. mankizzo

    Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

    Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft Lady Jaydee - Hivi Kwanini Sugu ft Stara Thomas - Kiburi Nipe zako
  3. M

    Oya niaje?

    Shwari humu ndani? Nimo.
  4. Frumence M Kyauke

    Oya niaje wadau?

    Oya niaje mme hamukaje humu? Nafurahia kuwa shobo wa Jamii Forums Unaweza kuniita FMKyauke mkali wa uzi motomoto
Back
Top Bottom