Wapendwa! Kwa masikitiko makubwa, Familia ya Banduka inasikitika kuwatangazia kifo cha Mhe. Nicodemus Manase Banduka kilichotokea ghafla jana, Ijumaa jioni, wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Mloganzila.
Mipango ya mazishi inafanyikia nyumbani kwake Kibaha - kwa Matias. Taarifa...