Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho
Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno
Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta
Huko huko ndani kuna ofisi za Uhamiaji. Mnatupeleka wapi?
Mbaya tumekaa toka saa tatu asubuhi mpaka saa nane wapendwa...
Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za vidole yaani kuingizwa kwenye mfumo, maafisa wote wa chumba cha picha walikuwa bize na shughuli...
Anonymous
Thread
faragha ya taarifa
haki ya faragha
nidakawenida kinondoni
ulinzi wa faragha
uwajibikaji nida