Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na ukifuatilia wanakuambia kuwa mtandao unasumbua.
Kuna wengine wanaambiwa kuwa watoe elfu 50 kupata...