Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi...