Nimekuwa nikisikia sana huu msamiati, kwangu ninachoelewa ni kuwa ni ndoto za kutisha.
Kuna maana nyingine nje ya hapo au ni tofauti na ndoto au ni dubwana linalosababisha kitu kwenye ulimwengu wa ndoto?
Kwa taadhima tuwakalibishe wazee wa kilinge tupate jambo, msitegeane, na yeyote mwenye...