nikimtongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
  2. Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  3. Nitumie mbinu gani ili nikimtongoza anikubalie?

    Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa. Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana. Naombeni ushauri...
  4. Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

    Natumai wote mko salama. Ipo hivi mwaka jana nilikutana na mwanamke mmoja hivi nakumbuka ni october 2020, kama kawaida yetu wanaume nikajilipua nikachukua namba za simu kwa nia ya kuchakata papuchi tu. Ila sasa baada ya kuanzisha mawasiliano na huyo mwanadada nimesahau kabisa lengo langu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…