Good morning, Members!
Naheshimu sana wakati wenu na bila kuwachosha niwatakie kila lenye kheri katika utafutaji wenu.
Story inaanza hivi, miaka minne iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja ambaye tulitokea kupendana sana, bila kuongezea kuwa alionesha kunipenda sana tena sana basi hii story...