Ili umuelewe lazima uwe umesoma Cuba au una C flaat kwa sababu nikki mbishi huwa hawaimbi vilaza kabisa.Yeye yupo mbele muda
https://www.youtube.com/watch?v=hdA0WP4skII
Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
THE UNDERGROUND TASTE WITH
THE BEST TRIO/ TRINITY
SISI THE TRIO
NIKKI MBISHI, ONE THE INCREDIBLE NA STEREO SINGASINGA.
Wachora ramani na wachonga njia ya Rap ya kisasa Bongo iliyojikita katika matumizi sahihi ya midundo ya HIP HOP.
Walimu wazuri na wakuu wa mtindo wa vina mshono ambao unaitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.