Kunazidi kuchangamka
===
Chama Cha Mapinduzi wilaya Ya Kibaha mkoani Pwani kimempa tuzo ya pongezi Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mjini, Nickson John Simon Nikki wa pili kwa usimamizi bora wa utekelezaji wa ilani ya CCM wilayani humo.
Wilaya hiyo chini ya uongozi wa DC Nickson Simon makusanyo ya...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza utendaji wa Mbunge wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma (Mwana FA), na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson John Simon (Nikk wa Pili), akieleza kuwa...
Wakuu,
Drama zinaendelea mpaka siku ya uchaguzi!
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kunnenge wakiwa kwenye foleni ya kwenda kupiga...
Madaraka ya Kulevya
Lyrics
Madaraaaa Madaraka x2
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
Nikki wa Pili
Mjini nimedondoka kama chopa, chopa star...
Wananiita zee la makopa
Zee la kulia mtoto hawezi toka
Watoto wanang'oka...
Hip hop artist Nickson Simon John, popularly known as Nikki wa Pili, has been sworn in as the new district commissioner for Kisarawe in Tanzania’s Coastal Region. Weusi member and Nikki wa Pili's older brother, Joh Makini, said: "This nomination does not surprise us because he has already...
Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019.
Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi...
Mungu nijalie demu mpenda pesa
Kila siku nipigane kuwa Bakhresa
asinipende mimi apende Verosa
Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa
Malighafi ya suruali si boxer
Siri nyingi mahali dingi alikosa
Demu wa shida na raha na misoto sana, Huyo demu hanifai changamoto hana, ikiwa demu wako anapenda...
Habari za weekend.
Awali ya yote natambua uwezo mkubwa wa baadhi ya members wa jf linapokuja suala zima la music hasa muziki wa kufoka foka(hiphop).Nimekuwa nafuatilia kwa muda sasa katika hili jukwaa la burudani kwaa namna gani wadau wanavyochambua wasanii wa hiphop kuanzia wa hapa nyumbani...
Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo.
Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040.
Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
Habari, tumaini langu mko powa, leo ningependa kushare na nyie watu wanne Kama ujawafollow basi nakushauli uwafollow na Kama umewafollow basi utaungana na me hiki nisemacho.
1). @Joelnanauka, ebana eeh huyu mtu mtu nakushauri mfollow ana mambo mengi sana ya kujifunza kwake kwenye huu ulimwengu...
Nimeshangazwa na post ya Mkuu wa Wilaya leo huko Instagram akijigamba kuwa wana mradi wa maji Kisarawe wenye thamani ya Billion 2 ambapo zaidi ya Billion 1 na Milion 700 tayari zishalipwa kwa mkandarasi na mkandarasi yuko site, ajabu anakuja kuambqtanisha clip ikionyesha mkandarasi akifanya hiyo...
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh. Nikki wa Pili jana amefanya jambo kubwa sana la kutoa hati miliki za kimila kwa ranchi 24 kwa wafugaji katika kijiji cha mafizi kwa ajili ya malisho ya mifugo 17920.
Lengo ni kuondoa migogoro ya ardhi, kuboresha huduma za mifugo, uvunaji wa bidhaa zitokanazo na...
Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.
Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana
Hili ni Jambo la...
Nani kama mama? Ukikutana na watu 10, basi 7 Kati yao watakuambia wanampenda sana mama kuliko baba.
Mama Samia kweli amedhmairia kuifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa, niseme wazi kuwa mimi sijawahi kuamini kiongozi Bora anaweza kutoka nje ya mfumo wa CCM.
Ujio wa mama Samia ni...
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"
Back to my topic.
Nikki wa Pili wewe umekuwa ukijinasibu kama msanii mwana hip hop msomi but kwenye interviews zako simuoni msanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.