Habari zenu ndugu zangu,
Ukweli siko poa kiakili.
Kutokana na hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita Nikopeshe Microfinance.
Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa...