nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.
nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,
je ni sahihi...
Kwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi...
Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.
Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia...
Habari za mchana.
Naomba niende kwenye mada, niliwai kua na bf flani ivi ni bodaboda nilimpenda sana kipindi hicho japo yeye alikua ni mtu Wa kuchukulia poa kitu kinachoitwa mausiano. Kwa Mara yakwanza kwenda geto kwake kiukweli nilitamani kukimbia ila nilijikaza.
Yaani akichomoa kidogo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.