Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, wizi, hiyo shule ina O level na A level.
Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma...