Kwema wakuu
Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife.
Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
Makaburi yamebomoka mizizi imekatika,
Limebaki shina tu,
Zile zama za zaman zimeisha,
Kiburi na dharau zilikuponza,
Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili,
Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi,
Ulimkufuru Mungu maksudi,
Utupu wako uko wazi kila mtu anauona,
Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu...
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.
Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.
Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani.
Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.