nilivyokutana na mariam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilivyokutana na Mariam kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile

    Kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile yani sina mchongo wowote ule, nilisoma mbali na kitaa chetu kwahiyo kupata hata masela wa kunipa dili ilikuwa ngumu. Kuna siku nilikuwa sina hata shilingi 500 ya kwenda Banda umiza kuangalia mechi ya Manchester United dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…