Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...