Habari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli nimekuacha Mamy K talaka 1, siyo mke wangu".
Yani hapa nipo nipo sijui nilie, sijui nicheke, nahisi...