nimefurahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    Leo nimefurahi sana kumsikia Tundu Lissu akisema yale ambayo nimekuwa nikiyasema kwa miaka mingi!

    I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism. Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa. Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza. Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio. Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa...
  2. Mshangazi dot com

    Vijana wa kihaya - mnaitwa 🙌🏽

    Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea 🙌🏽🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange 😅😅😅😂. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
  3. mdukuzi

    Nimefurahi sana Ali Kamwe na Ahmed Allli kutaka kushitakiwa,waligeuza soccer kuwa mchezo wa kijinga,vyeo vyao vifutwe

    Huu ujinga aliuanza Haji Manara,badala ya Simba na yanga kuwa watani wa jadi wakawa na chuki ya jadi. Hawa watoto nao badala ya kuja kivingine wakawa wanapita mule mule alipopita Haji. Sasa nasikia Alli kamwe Azam nao wanataka bilioni 10 kwa kauli yake kuwa Dube kila akikaribia goli wanazima...
  4. M

    LGE2024 Nimefurahi yaliyotokea kwa CHADEMA Serikali za Mitaa

    Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika. Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi...
  5. Down To Earth

    Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

    Yani katika pita pita mitandaoni nikakutana na hizi sms za kijana akiutongoza mshangazi...😅😅😅 nimecheka sana
  6. Tembosa

    Huyu mrembo amenikataa, nimefurahi kwa kweli

    Wakuu, Ulishamtokea mtu lakini sometimes ukawa na wasiwasi sana? Imenitokea mimi weekend moja hivi. Huyu Dada wa kisukuma amezaliwa 2003. Muonekano wake na umri vinakinzana sana! Ni binti nyama za mwili wake zimejipangilia vizuri sana. Nilikutana nae tukazoeana kwa haraka sana na nilikuja...
  7. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana Kuachwa kwa Msaliti na Mnafiki Kipa Aishi Manula

    Tena Uongozi wa Simba SC tulichelewa sana tu Kumuacha huyu Kipa Duka kwani alitumiiza pakubwa mno. Asanteni.
  8. M

    Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia. Nilipofika karibu yake...
  9. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  10. theartfuldodger

    Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili

    Habari, Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili. Natarajia kusoma nyuzi kadhaa nzuri.
  11. UMUGHAKA

    Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!. Nashukuru sana kwa...
  12. The Assassin

    Brother kaongeza mke wa pili, nimefurahi sana

    Nina brother wangu, tunachangia mzee ila kila mtu yuko na mama yake. Brother ananizidi kama miaka 6. Miaka ile nakuja kusoma chuo kikuu, nilifikia kwa brother kwa sababu yeye tayari alikua anafanya kazi hapa Dar ila immediately baada ya mimi kuja akahamishiwa mkoa mwingine hivyo akaniacha na...
  13. Lycaon pictus

    Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  14. U

    Nimefurahi Kuona Vyombo(mitungi) , Tafrija ya Ikulu, nzuri sana

    Leo ni Siku muhimu Kwa Mkoa wa Dodoma ambao ni makao makuu ya Jamhuri ya Muubgano wa TAnzania, kwani unafanyika Uzinduzi wa Jengo la Ikulu (State House ambayo pia ni Ofisi na Makazi ya Raisi na Makamu wa Raisi. Kwakweli Leo nimefarijika sana na uandaaji wa Tafrija hii kwani wameweka na Vyombo...
  15. Kasanzu The Great

    Nimefurahi sana kumuona Rais Samia akiwa amekasirika

    Jana nilifarijika Sana kuona Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan akiwa amesarika na kuona hadharani wale wote wanaotafuna Mali za nchi. Alilazimika mpaka kutumia neno '' Stupid'' katika hotuba yake. Siku za nyuma nilikuwa naingia na wasiwasi juu ya kauli zake za ' 'sitafoka" sitaki...
  16. GENTAMYCINE

    Rais Samia, nimefurahi sana Taifa Stars Kufungwa ili Pesa zako zikasaidie hasa Watu wenye Uhitaji na siyo Goigoi wa Viwanjani

    GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
  17. Mtu Asiyejulikana

    Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

    Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points. Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
  18. Uponyaji na uzima

    Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu. Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
  19. M

    Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

    1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6. Anajiamini sana mpaka kujisahau 7. Ana Ushamba ambao haujifichi Nina uhakika kwa Ball Control yake...
  20. Mtumaini Mungu

    Nimefurahi kukutana na Gentamycine

    Tumshukuru Mungu kwa pumzi hii na riziki anazotupatia. Mnamo tarehe 28 September niliweka Uzi hapa JF nikimuulizia na kumtafuta mwanachama maarufu Bw. GENTAMYCINE ambaye happy awali sikuwahi kumfahamu kwa lolote lakini namna alivyoongelewa na wanajukwaa ikanibidi nitie muhuri katika ulimwengu...
Back
Top Bottom