Nimefurahi kuona Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimtembelea na kumjulia hali, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba, katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam.
MY TAKE;
Ziara hii ina maana gani kwa Watanganyika? Mchakato wa Katiba unanukia?