Nina brother wangu, tunachangia mzee ila kila mtu yuko na mama yake. Brother ananizidi kama miaka 6.
Miaka ile nakuja kusoma chuo kikuu, nilifikia kwa brother kwa sababu yeye tayari alikua anafanya kazi hapa Dar ila immediately baada ya mimi kuja akahamishiwa mkoa mwingine hivyo akaniacha na...