nimeibiwa luku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Nimeibiwa LUKU asubuhi hii, nianzie wapi?

    Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi. Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana. Nimemshauri aende TANESCO akatoe ripoti.
Back
Top Bottom