Yes nilikua natokea Kilosa Morogoro kwa ishu zangu nikawa nimechelewa bus za moja kwa moja kutoka Kilosa mpaka Dar, ikanibid nibande gari mpaka Dumila ili nivizie gari zinazotoka barabara ya Dodoma.
Kweli nikapata bus imetoka Dodoma inaenda Dar nikapata siti za nyuma kabisa na gari ilikua...