Yani kwa sasa mtu akisema anaenda kwenye nyumba ya ibada namuona kama “old school” mtu anaeishi maisha ya kusadikika,
Bado naamini kuna Mungu ila Mungu huyo hahitaji ibada wala hana habari na sisi, hakuna moto wala pepo.
Dini zote naona ni kama vikundi vinavyojinasibisha tu lakini hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.