Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au?
mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena?
sasa mtapita wapi na mimi
"eti, Tsup ma, how ya doin'
baby send me your photo
ma, you love my swaga?
hey babe, lil mama
hey honey money
money penny i got money for ya''
yani huku...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine...
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa.
Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya...
Wakuu,
Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi.
Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize shughuli tuzungumze. Sasa ananiambia kuwa ananipenda mno.
Na anataka nimpe jibu kama nimemkubali au la...
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia zake nikamwambia unadhani tutaendana? Ni pisi kali akajibu kwanini, nikamwambia wewe ni mwanamke...
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.