Wakuu,
Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia.
I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea, hakuonyesha hata dalili zakuomba msamaha, ilinibidi nitumie nafasi kama Baba kujitenga kidogo nae...