Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,
Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.
Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?
Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga?
Naona wamekuwa kimya kama hakuna...