VISA NA MIKASA; Shoga ya
Nimetoka zangu kujifungua narudi nyumbani nakuta nyumba ni safi, yaani nawaza huyu si mume wangu kwakweli!
Naingia ndani nawaza nani kafanya huu usafi! Jicho la kiukaguzi, yaani kuchunguza kama kuna kitu. Basi nikawa sina amani, mume ananiuliza vipi namuambia kuchoka...
Sio kwamba wanawake wote wanaofanana baba zao ni wabaya la hashaaa
Kuna pisi kali sana ila zimefanana baba zao kuliko mama zao
Pata picha mko kwa bed mnanyanduana,ukimuangalia usoni mpenzi wako inakuja picha ya baba yake,hapo mimi huwa naona kama namnyandua mtoto na baba mtu ...
Ila mtoto...
Habari wakuu mbali mbali,
kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini
mwezi mmoja uliopita mshkaji wangu wa karibu akanambia demu wake hana hisia kabisa wakinyanduana ni kama ananyanduana na gogo...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.
Miaka miwili...
Wakuu heshima kwenu,
Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa ufupi ana sifa zote za wife material.
Sasa huyu binti hivi karibuni amepata sana bahati za watu ambao...
Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa
Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali
Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
Habar wadau,
Ni hivi nimekuwa na mahusiano na demu taklibani miez 3, sasa analeta mambo ambayo hata hayaeleweki mim nilimuomba mahusiano ya kimapenzi, sasa tumezoeana sana, mara nyingine tunatukanana hadi tunataka kuachana kila tukitaka kuachana yeye ndo anaanzisha mada ya kuachana lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.