Habari zenu,
Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya...
Habari zenu Wana JamiiForums?.
Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.
Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana...
Kweli biblia haiwezi kudanganya hata kidogo, lile andiko la wanawake 10 watamzingira mwanaume mmoja na kumwambia tuoe utufichie aibu zetu kama linatimia hivi.
Kuna mshangazi mmoja naona ameona jioooni imeanza kuingia, basi anachofanya ni kulazimisha tu ndoa, just imagine ni rafiki yangu sio...
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria...
Wadada, msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu namfikiria, maana nimemwambia Nina mke anasema yupo tayari hivyo hivyo,nimekutana nae barabarani...
Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.