Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu.
Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi nakaa kwetu” ~ Kisauji
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.
Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.