Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.
Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine...
Mimi ni Wilfred, mfanyabiashara kutoka Wilaya ya Temeke. Nilibeti TSh1,900 kwenye mechi 25 (24 kati yao zilikidhi masharti ya Bonasi ya Ushindi) na kushinda TSh25,417,020.10.
Ushindi wangu uliongezeka kwa 140% kwa Bonasi ya Ushindi ya betPawa na malipo yangu ya mwisho baada ya kodi yalikuwa...
Kila kitu kilikuwa kama maigizo kabla ya kuona rasmi napokea muamala kama mnavyoona hapo juu. Sina la kusema zaidi ya kuwashukuru JamiiForums kwa kunipatia hela hii ambayo sitahitaji ushauri wa jinsi ya kuitumia.
Nimefungua akaunti hii muda mrefu sana, nikawa napata vijisent vya hapa na pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.