nishati mbadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Nishati Safi: Je ni busara ya kuendelea kutumia ruzuku ili kusambaza mitungi ya gesi wakati ni gharama na kuna mbadala

    Nimeona hii qoute ya habari Kwa upande wake Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha. Advera mwijage amesema mitungi ya gesi 452,445 yanye gharama ya shilingi bilioni 8.64 inakwenda kusambazwa nchini ambapo kila wilaya itapata...
  2. Mindyou

    Nishati safi yazidi kupamba moto Arusha! China yaipa Tanzania msaada wa mitungi ya gesi 800

    Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa kushirikiana na Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) wametoa msaada wa mitungi ya gesi na majiko kwa makundi mbalimbali mkoani Arusha. Siku ya Jumatatu wiki hii, ubalozi wa China walitoa mitungi 800 ya gesi pamoja na majiko kwa walimu, madereva, watumishi wa...
  3. kimsboy

    Mnahubiri nishati safi halafu hamshushi gharama za gesi wala umeme, watu wapikie upepo?

    Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi! Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza...
  4. ChoiceVariable

    Rais Samia: Nimebuni na kubeba Mradi wa matumizi ya Nishati Safi Afrika, aweka Lengo la asilimia 80% ya Watanzania watumie Nishati Safi Kufikia 2030

    Rais Samia amefurahishwa na kuendelea kuhimiza jamii ya Watanzania Kuunga mkono juhudi alizozianzisha za Matumizi ya Nishati Safi. Akizungumza huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Samia,amesema alibuni mradi huo baada ya kuona wanawake wanapata upofu na vifo kutokana na...
  5. F

    Naomba kufahamu mkaa mbadala unauzwa wapi

    Mkaa mbadala ni matokeo ya teknolojia mpya na rahisi ya kutengeneza mkaa tofauti na aina ya mkaa wa kawaida uliozoeleka. Wadau, naomba kufahamu huu mkaa mbadala huwa unauzwa wapi?
  6. Mturutumbi255

    SoC04 Maono ya Kibunifu ya Nishati Mbadala na Uhifadhi wa Mazingira kwa Tanzania ndani ya Miaka 5 hadi 25

    Nishati mbadala ni nishati inayotokana na vyanzo vya asili ambavyo havikomi au vinaweza kurejeshwa haraka, kama vile jua, upepo, maji, na vyanzo vya jotoardhi. Hii ni tofauti na nishati inayotokana na mafuta ya kisukuku (fossil fuels) kama vile makaa ya mawe, mafuta, na gesi, ambayo yana...
  7. Kulwa Paschal Martin

    SoC04 Nishati mbadala inavyo/itakavyo weza kupunguza/kuondoa kabisa athari za mazingira na kutufikisha katika Tanzania nzuri tuitakayo

    NISHATI MBADALA - Ni nishati safi, rafiki wa mazingira, afya ya binaadamu na wanyama. Andiko langu linalenga zaidi, MKAA/KUNI TAKA (Briquettes)/MAJIKO BUNIFU(Cooking Stoves), inayotokana na malighafi(Materials) za bure/rahisi zinazopatikana kwenye mazingira yetu bila kuathiri mazingira...
  8. The Eric

    Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  9. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
  10. J

    SoC03 Teknolojia katika uhifadhi wa mazingira

    Uhifadhi wa mazingira ni juhudi za kuchukua hatua zinazolenga kulinda na kudumisha mazingira ya asili ikiwa ni pamoja na mimea,wanyama,hewa,maji na ardhi.Uhifadhi wa mazingira unahusisha kushiriki kikamilifu katika kuzuia uharibifu wa mazingira, kupunguza uchafuzi wa hewa,maji na udongo na...
Back
Top Bottom