Nimeona hii qoute ya habari
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha. Advera mwijage amesema mitungi ya gesi 452,445 yanye gharama ya shilingi bilioni 8.64 inakwenda kusambazwa nchini ambapo kila wilaya itapata...
Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa kushirikiana na Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) wametoa msaada wa mitungi ya gesi na majiko kwa makundi mbalimbali mkoani Arusha.
Siku ya Jumatatu wiki hii, ubalozi wa China walitoa mitungi 800 ya gesi pamoja na majiko kwa walimu, madereva, watumishi wa...
Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri nishati safi!
Nishati safi my foot? Sasa hao wananchi watapikia upepo au vinyesi vyao? Nauliza...
Rais Samia amefurahishwa na kuendelea kuhimiza jamii ya Watanzania Kuunga mkono juhudi alizozianzisha za Matumizi ya Nishati Safi.
Akizungumza huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Samia,amesema alibuni mradi huo baada ya kuona wanawake wanapata upofu na vifo kutokana na...
Mkaa mbadala ni matokeo ya teknolojia mpya na rahisi ya kutengeneza mkaa tofauti na aina ya mkaa wa kawaida uliozoeleka.
Wadau, naomba kufahamu huu mkaa mbadala huwa unauzwa wapi?
Nishati mbadala ni nishati inayotokana na vyanzo vya asili ambavyo havikomi au vinaweza kurejeshwa haraka, kama vile jua, upepo, maji, na vyanzo vya jotoardhi. Hii ni tofauti na nishati inayotokana na mafuta ya kisukuku (fossil fuels) kama vile makaa ya mawe, mafuta, na gesi, ambayo yana...
NISHATI MBADALA - Ni nishati safi, rafiki wa mazingira, afya ya binaadamu na wanyama. Andiko langu linalenga zaidi, MKAA/KUNI TAKA (Briquettes)/MAJIKO BUNIFU(Cooking Stoves), inayotokana na malighafi(Materials) za bure/rahisi zinazopatikana kwenye mazingira yetu bila kuathiri mazingira...
Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy.
Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
Uhifadhi wa mazingira ni juhudi za kuchukua hatua zinazolenga kulinda na kudumisha mazingira ya asili ikiwa ni pamoja na mimea,wanyama,hewa,maji na ardhi.Uhifadhi wa mazingira unahusisha kushiriki kikamilifu katika kuzuia uharibifu wa mazingira, kupunguza uchafuzi wa hewa,maji na udongo na...