Katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani Mkoa wa Singida, imeunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za kupambana na matumizi ya nishati chafu na kuhamia kwenye nishati safi, kwa kutowa mitungi zaidi ya 29,000 kwa wanawake wa Mkoa wa Singida kwa bei nafuu ambayo ita...
Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAIS, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje?
Matumizi ya kupikia kwaa Gesi na Umeme bado ni vitu LUXURY! bei zipo juu Sana huwez kumshawishi mtu...
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi.
Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Habari ndugu zangu,
Nimeona msukumo wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambapo hatua mbalimbali zimechukuliwa na wanasiasa tofautitofauti,wengine wakigawa mitungi ya gesi idadi tofauti tofauti 3000, 1500 , 2000 n.k
Pamoja na nia njema hii kwa watanzania,lakini ukweli ni kwamba bado nishati...
Mtungi mdogo wa Gesi wa Kilo Sita Net bei yake ni elfu 45 mpaka elfu 55
Nimecheki hii Induction Cooker direct from Factory huko China
Hata tukichukilia kwamba dollar moja ni elfu 2600 hii cooker inaweza kuwa na gharama ndogo kuliko hilo jiko tunalogawa bure kwa watu..., LAKINI kabla ya yote...
Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu
Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuenenda na Mpango wa Taifa wa utunzaji wa mazingira kwa kutumia Nishati Safi ya...
Rais Samia amefurahishwa na kuendelea kuhimiza jamii ya Watanzania Kuunga mkono juhudi alizozianzisha za Matumizi ya Nishati Safi.
Akizungumza huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Samia,amesema alibuni mradi huo baada ya kuona wanawake wanapata upofu na vifo kutokana na...
Pamoja na siku za hivi karibuni kutoa boko sana kwenye hotuba zake lakini this time inaonekana kama Rais Samia ameanza kurudi kwenye mstari.
Kuna kauli ameitoa akiwa akiwa huko na Namtumbo, kauli ambayo bila shaka itachagiza wanawake wengi hasa wa vijijini kupiga kura kwenye uchaguzi ujao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.