nishati ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigeria: Aliko Dangote atangaza nia ya kuuza Kiwanda chake cha Mafuta. Adai kuna watu hawajapendezwa

    Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga. Bwana Dangote anadai aliamua kujenga kiwanda kikubwa Cha Mafuta Afrika Ili kuisaisia Nchi yake ila Kuna watu hawajapendezwa nae ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…